Afrika
Kushindwa kuzungumzia upunguzaji wa uzalishaji mafuta ni 'bomu linalosubiri kulipuka'
Mkataba wa Paris unadaiwa kuwa Nyota ya Kaskazini ya ulimwengu kwa mustakabali salama na unaoweza kuishi. Bado, nchi ziko katika mwelekeo mbaya na ongezeko dhahiri la uzalishaji wa mafuta badala ya kupunguza, kama ripoti mpya kutoka UNEP inavyofi.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu