- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Ukingo Wa Magharibi
Matokeo ya 6 yanayohusiana na Ukingo Wa Magharibi yanaonyeshwa
Ulimwengu
Wakristo Gaza waomba amani huku mashambulizi ya Israeli yakiendelea
Mauaji ya kimbari ya Israeli huko Gaza, yaingia siku yake ya 446, yamesababisha vifo vya Wapalestina 45,338 na wengine 107,764 kujeruhiwa. Nchini Lebanon, Israel imewauwa watu 4,048 tangu Oktoba na kuendelea kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano,Ulimwengu
Ripoti yafichua mpango wa Israel kunyakua Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kimabavu
Waziri mwenye itikadi kali Bezalel Smotrich anafichua mkakati wa Israel kugeuza kabisa utawala katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, akilenga kuwatiisha Wapalestina na kuimarisha udhibiti wa eneo bila kuonekana kama unyakuzi rasmi.
Maarufu
Makala maarufu