- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Shambulio La Kigaidi
Matokeo ya 12 yanayohusiana na Shambulio La Kigaidi yanaonyeshwa
Türkiye
Makumi wakamatwa kufuatia shambulio mahakamani Istanbul
Polisi wa Uturuki wanawakamata washukiwa 14 kwa "mauaji mabaya," na 33 kwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi lenye silaha, baada ya shambulio la kigaidi katika jumba la mahakama ya Istanbul Caglayan na kuua mwanamke na kujeruhi watu sita.Türkiye
Gaidi wa PKK ahusika katika shambulio la Ankara: Wizara ya Mambo ya Ndani
Wizara ya mambo ya ndani ya Uturuki imethibitisha kuwa mmoja wa washambuliaji katika Wizara ya Mambo ya Ndani katika mji mkuu wa Uturuki alikuwa mwanachama wa PKK, huku vikosi vya usalama vikiwakata makali magaidi wote wawili mara moja.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu