- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Msaada Wa Kibinadamu
Matokeo ya 9 yanayohusiana na Msaada Wa Kibinadamu yanaonyeshwa
Türkiye
Israeli inatumia msaada wa kibinadamu kama 'silaha ya vita' - Fidan
Akisisitiza kuwa zaidi ya Wapalestina 400,000 wanakabiliwa na njaa katika Gaza ya Palestina, waziri wa mambo ya nje wa Uturuki anasema, "Katika msingi halisi, tunapaswa kuzuia watu kufa kwa njaa kwa kuvunja mzingiro wa Israel."Afrika
A. Kusini yamuita balozi wake kutoka Israel, yaishutumu kwa 'mauaji ya halaiki'
Serikali ya Afrika Kusini inatishia kuchukua hatua dhidi ya balozi wa Israel nchini Afrika Kusini kutokana na matamshi yake ya hivi karibuni kuhusu msimamo wa nchi hiyo ya Kiafrika kuhusu vita vya Israel na Palestina.
Maarufu
Makala maarufu