Afrika
Msumbiji: Rais Nyusi aomba msaada toka jumuiya za kimataifa kukabiliana na vurugu baada ya uchaguzi
Katika kikao chake na mabalozi kilichofanyika jijini Maputo, Nyusi ambaye anaondoka madarakani baada ya kuhudumu kwa kipindi cha mihula miwili, alisisitizia umuhimu wa amani kwa maendeleo ya nchi hiyo baada ya kukamilika kwa uchaguzi wa mwaka 2024.
Maarufu
Makala maarufu