Afrika
Mapigano Sudan yanaweza kuwa 'Jinamizi' kwa ulimwengu - Waziri Mkuu wa zamani Hamdok
Waziri Mkuu wa zamani wa Sudan Abdalla Hamdok alielezea mzozo unaoendelea kama ''vita visivyo na maana.'' Vita hivi sasa viko katika wiki yake ya tatu huku mamia wakiuawa na maelfu kujeruhiwa bila dalili za wazi za kusitisha mapigano.
Maarufu
Makala maarufu