- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Mahakama Ya Kimataifa
Matokeo ya 10 yanayohusiana na Mahakama Ya Kimataifa yanaonyeshwa
Ulimwengu
Mwendesha mashtaka wa ICC anataka rufaa ya Israel kutupiliwa mbali
Mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu Karim Khan ametaka Mhakam kutupilia mbali ombi la Israel la kuondolewa notisi ya kukamatwa. Alisema uamuzi wa mahakama sio suala la kukata rufaa na shughuli hiyo inapaswa kukomeshwa.Uchambuzi
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai na Utawala wa Magharibi dhidi ya Afrika
Kwa Miaka mingi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya ICC imejikita zaidi katika uhalifu unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wa Afrika huku ikizingatia kidogo au kutozingatia kabisa jinai zinazohusishwa na viongozi wa Magharibi
Maarufu
Makala maarufu