Afrika
Viongozi wa Sudan na Sudan Kusini; Al Burhan na Salva Kiir wafanya mkutano Juba kuongelea mgogoro Sudan
Ziara ya Al Burhan Juba ni yake ya pili nje ya Sudan tangu mzozo kuzuka Khartoum Aprili 15 mwaka huu. Jumanne iliyopita, alifika Misri ambako alikutana na Rais Abdel Fattah El-Sisi katika mji wa al-Alamein, pwani ya Misri
Maarufu
Makala maarufu