Ulimwengu
Mwendesha mashtaka wa ICC anataka rufaa ya Israel kutupiliwa mbali
Mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu Karim Khan ametaka Mhakam kutupilia mbali ombi la Israel la kuondolewa notisi ya kukamatwa. Alisema uamuzi wa mahakama sio suala la kukata rufaa na shughuli hiyo inapaswa kukomeshwa.Uchambuzi
Ombi la mwendesha mashtaka wa ICC: Netanyahu wa Israel atakamatwa?
Hatua ya mahakama ya ICC kutafuta vibali vya kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, mkuu wake wa ulinzi Yoav Gallant na viongozi watatu wa Hamas inaashiria wakati mgumu katika historia ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu.
Maarufu
Makala maarufu