Türkiye
Ukimya wa kile kinachoendelea Gaza ni uhalifu dhidi ya ubinadamu: msaidizi wa Erdogan
Omer Celik alizikosoa nchi zinazotanguliza "haki ya Israel ya kujilinda" huku zikipuuza "haki ya kuishi" ya wanawake na watoto huko Gaza, akitaka hatua za haraka zichukuliwe kusitisha mashambulizi ya mabomu unaoendelea.Afrika
Angola inaruhusu mataifa 98 kuingia bila visa ili kukuza utalii
Mataifa kumi na nne (14) ya Kiafrika yamo kwenye orodha ya wanufaika bila visa. Nazo ni Tanzania, Eswatini, Morocco, Lesotho, Rwanda, Zimbabwe, Equatorial Guinea, Botswana, Madagascar, Malawi, Mauritius, Sychelles, Cape Verde na Algeria.Türkiye
Rais wa Uturuki Erdogan ampokea waziri wa mambo ya nje wa China Wang kwa ajili ya mazungumzo
Rais Recep Tayyip Erdogan aliwasilisha hamu yake ya kuwepo ushirikiano imara kati ya nchi hizo mbili, ambazo zina ushawishi mkubwa katika masuala ya kimataifa na kikanda, ilisema Kurugenzi ya Mawasiliano ya Uturuki
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu