Afrika
Rais wa Zambia 'ashtuka' alivyosikia wanakwaya wa kanisa wamefariki katika ajali ya boti
Zambia imetuma vikosi vya majini kutafuta walioathirika kwenye ajali. Boti ilikuwa imebeba zaidi ya waumini 40 wa kwaya ya kanisa la Waadventista Wasabato ilipopinduka kwenye Ziwa Bangweulu. Zaidi ya 20 waokolewa.
Maarufu
Makala maarufu