Afrika
Bola Tinubu: Wanigeria wanatarajia nini kutoka kwa rais wao mpya
Rais mpya mteule wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu anatazamiwa kuongoza uchumi kubwa zaidi barani Afrika wenye wakazi zaidi ya milioni 200 huku kukiwa na changamoto kubwa. Naibu wake ni gavana wa zamani wa jimbo la Borno Kashim Shettima.
Maarufu
Makala maarufu