Afrika
Vikosi vya usalama vya Uturuki vyakamata washukukiwa wa ugaidi wa kundi la Daesh
Kupitia operesheni ya Bozdogan-22, vikosi vya usalama wa Uturuki vimewakamata watuhumiwa watano Eskisehir, sita katika eneo la Yalova, wawili Gaziantep na mwingine Samsun, kulingana na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki.Türkiye
Polisi wa Uturuki wamewakamata watu 6 kwa madai ya ujasusi kwa Wachina kuhusu Uighurs
Operesheni ya Jumanne ni sehemu ya uchunguzi unaoendelea kuhusu ugaidi na uhalifu uliopangwa, kwani vyanzo vya mahakama vinafichua kwamba washukiwa saba walikusanya taarifa za watu binafsi na mashirika kutoka Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uighur.Türkiye
Washukiwa 94 wakamatwa katika shambulio la kigaidi la mahakama ya Istanbul
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Umma ya Istanbul inaongoza uchunguzi wa shambulio la kutumia silaha kwenye kizuizi cha polisi, nje ya mahakama ya Caglayan ya Istanbul na wanachama wa shirika la kigaidi la DHKP-C, Emrah Yayla na Pinar Birkoc.Türkiye
Uturuki inawashikilia wasafirishaji haramu wa binadamu 19 magharibi mwa nchi
Miongoni mwa wasafirishaji haramu wa binadamu 19, akiwemo raia wa kigeni, 17 wametiwa mbaroni, huku wawili waliosalia wakiwa chini ya udhibiti wa mahakama, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki Ali Yerlikaya atangaza.
Maarufu
Makala maarufu