Afrika
Kenya yatajwa kuwa nchi bora zaidi barani Afrika kwa watu kutoka nje kuishi
Kenya sasa imeorodheshwa ya tisa duniani kama sehemu ya wageni kuishi, ikizipita Afrika Kusini (iliyorodheshwa ya 28) na Misri ( iliyoorodheshwa ya 37), ambazo zote zimeshikilia nafasi ya kwanza kwa miaka kadhaa iliyopita.
Maarufu
Makala maarufu