Ulimwengu
Ripoti yafichua mpango wa Israel kunyakua Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kimabavu
Waziri mwenye itikadi kali Bezalel Smotrich anafichua mkakati wa Israel kugeuza kabisa utawala katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, akilenga kuwatiisha Wapalestina na kuimarisha udhibiti wa eneo bila kuonekana kama unyakuzi rasmi.Türkiye
Viongozi wa Israel wanapaswa kujibu kuhusu watoto wachanga waliouawa huko Gaza - Erdogan
Rais wa Uturuki Erdogan atoa wito wa kuundwa taifa huru la Palestina kama njia pekee ya kulipa deni kwa watoto wa Kipalestina waliouawa kwani vita vya Israel vinaua zaidi ya Wapalestina 31,000 wengi wakiwa wanawake na watoto
Maarufu
Makala maarufu