- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Wanajeshi Wa Israel
Matokeo ya 12 yanayohusiana na Wanajeshi Wa Israel yanaonyeshwa
Ulimwengu
Vifo vya Wapalestina katika vita vya Israel dhidi ya Gaza vyafikia 46,565
Mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza - sasa katika siku yake ya 464 - yameripotiwa kuua zaidi ya Wapalestina 46,565 na kujeruhi wengine 109,660. Nchini Lebanon, Israel imewauwa watu wasiopungua 4,063 tangu Oktoba 2023.Ulimwengu
Marekani inazingatia vikwazo kwa wanajeshi wa Israel katika Ukingo wa Magharibi - ripoti
Vita vya Israel dhidi ya Gaza - sasa katika siku yake ya 127 - vimewaua Wapalestina 27,947 na kujeruhi wengine 67,459, huku Seneta wa Marekani Bernie Sanders akiitaja Marekani "imeshiriki" katika mgogoro wa kibinadamu Gaza.Ulimwengu
Mgomo wa kupinga vita vya Israel dhidi ya Gaza wapooza Ukingo wa Magharibi
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza iliyozingirwa - sasa katika siku yake ya 66 - yamesababisha idadi mbaya ya Wapalestina 17,997 waliouawa, zaidi ya 49,200 kujeruhiwa na maelfu wakihofiwa kuuawa chini ya vifusi vya majengo yaliyolipuliwa.
Maarufu
Makala maarufu