- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Waandishi Wa Habari Gaza
Matokeo ya 3 yanayohusiana na Waandishi Wa Habari Gaza yanaonyeshwa
Afrika
Umoja wa Waandishi wa Habari Duniani walaani kushambuliwa kwa waandishi
Kila siku, raia na waandishi wa habari "wanalengwa na jeshi la Israeli," Jumuia ya Waandishi wa Habari inasisitiza, na kuongeza kwamba Jumuia hiyo inalaani vikali kushambuliwa kwa mpiga picha wa Anadolu Mustafa Alkharouf na vikosi vya Israeli.Afrika
Altun wa Uturuki aitaka Israeli kuheshimu sheria za kimataifa
Israeli ikiwashambulia waandishi wa habari wa TRT Arabi na waandishi wengine, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Uturuki ameitaka Israeli kusitisha mashambulizi hayo, hasa kwa raia wa Palestina, waandishi wa habari, wahudumu wa afya na wasaidizi wao.
Maarufu
Makala maarufu