Türkiye
Erdogan aikosoa Marekani kwa kuwakandamiza waandamanaji kwenye vyuo vikuu
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yameingia siku ya 209 huku yakiua Wapalestina 34,596, asilimia 70 wakiwa wanawake na watoto wadogo. Zaidi ya watu 77,816 wamejeruhiwa na wengine zaidi ya 10,000 wanahofiwa kufukiwa kwenye majengo yalioharibiwa.
Maarufu
Makala maarufu