Afrika
Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zahimizwa kuondoa vikwazo vya biashara
Nchi washirika wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zahimizwa kuondoa vikwazo vyote katika usafirishaji ili kuimarisha biashara na ukuaji wa uchumi katika ukanda huo, biashara ya ndani ya ukanda huo imeshuka chini na kwa sasa imefikia 15%.
Maarufu
Makala maarufu