Ulimwengu
Hospitali za Gaza kusitisha huduma saa 48 zijazo, Wizara ya afya yasema
Mashambulizi ya Israeli dhidi ya Gaza yameingia siku ya 268, yakiwa yameua Wapalestina 37,877, wengi wakiwa ni wanawake na watoto, na kujeruhi wengine 86,969, huku zaidi ya 10,000 wakihofiwa kufunikwa na vifusi vya nyumba.Afrika
Vifo, watu kuteseka zaidi huku mzozo wa Sudan umeingia wiki ya tatu
Mapigano kati ya majeshi ya majenerali hasimu yameathiri majimbo 12 kati ya 18, Wizara ya Afya ya Sudan inasema, huku waziri mkuu wa zamani Hamdok akionya vita nchini Syria, Yemen, Libya "itakuwa mchezo mdogo" ikiwa ni vita inaendelea Sudan.
Maarufu
Makala maarufu