Türkiye
Erdogan: Uturuki na Ugiriki kuimarisha ushirikiano wa kukabiliana na ugaidi
Ankara na Athena zimejitolea kutatua maswala kati yao kwa 'mazungumzo mazuri, uhusiano mzuri wa ujirani, sheria ya kimataifa,' Erdogan asema katika mkutano wa pamoja na waandishi wa habari na Waziri Mkuu wa Ugiriki Mitsotakis.Afrika
Achille Mbembe: “Ushirikiano kati ya Mataifa sharti urejeshwe kwenye ajenda”
Profesa Achille Mbembe, ambaye ni msomi wa Historia na Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand kilichoko Johannesburg nchini Afrika Kusini, alitwikwa jukumu na Rais Emmanuel Macron kuhuisha mazungumzo katia ya Afrika na Ufaransa.
Maarufu
Makala maarufu