Türkiye
Erdogan ahimiza umoja wa kimataifa dhidi ya mauaji ya kimbari ya Israeli huko Palestina
Katika mkutano wake na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Guterres, Rais Erdogan anatoa wito wa kukomeshwa kwa mauaji ya Israeli na kuhimiza kuongezwa misaada ya kibinadamu kwa Gaza huku hali ikizidi kuwa mbaya.Ulimwengu
UN yatoa wito wa uchunguzi wa kuaminika kuhusu shambulio la timu ya TRT kule Gaza
Vita vya Israeli dhidi ya Wapalestina maeneo ya Gaza — sasa vikiwa siku yake ya 189 — vimeua takribani Wapalestina 33,545 na kujeruhi wengine 76,094 huku Baraza la Usalama la UN likishindwa kufikia makubaliano kuhusu ombi la Palestina la uanachamaTürkiye
Vitendo vya waisraeli ndio vizuizi vikubwa zaidi vya utatuzi wa tatizo - Erdogan
Rais wa Uturuki atoa wito kwa madola ya Magharibi kwa uungaji mkono wao usio kwa Israeli wakati serikali ya Waziri Mkuu wa Israeli Netanyahu ikifanya "mauaji ya halaiki" dhidi ya Wapalestina katika siku ya 151 ya vita vyake vya kikatili huko Gaza
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu