Ulimwengu
Mashabiki 5 wa timu ya Israel wahukumiwa Amsterdam kwa vurugu ya soka
Watuhumiwa ni miongoni mwa kundi lililozua vurugu kabla na baada ya mechi ya Maccabi dhidi ya Ajax mnamo Novemba 7, ambapo mashabiki wa timu ya Israeli walipigana na watu walio karibu, kuharibu mali na kuchoma bendera ya Palestina.Türkiye
Erdogan: Uteuzi wa mkuu wa NATO kuongozwa na 'hekima ya kimkakati'
Katika mkutano wa waandishi wa habari akiwa na Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anasema Uturuki ina matumaini ya kuongeza kiasi cha biashara kutoka dola bilioni 15 hadi dola bilioni 20.Ulimwengu
Kuchomwa kwa Quran kunaonyesha upotovu wa maadili wa Magharibi
Tafsiri ya kuegemea upande mmoja ya uhuru wa kujieleza imekuwa tegemezi katika baadhi ya nchi za Ulaya. Wale wanaoitwa wafuasi wa mfumo unaoshabikia uliberali na mfumo wa kidunia (usekula) hutumia uhuru huu kukanyaga imani za wengine
Maarufu
Makala maarufu