- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Siku Ya Watoto Duniani
Matokeo ya 4 yanayohusiana na Siku Ya Watoto Duniani yanaonyeshwa
Türkiye
Kundi la Uturuki laanzisha maandamano duniani kote kwa ajili ya watoto wa Gaza iliyozingirwa
Kampeni ya "Fanya Kitu" inawahimiza watu duniani kote kuwasha na kuzima taa saa 9 usiku kwa saa za huko nchini mwao kila usiku kupinga "mauaji ya watoto" yanayofanywa na Israel huko Gaza hadi yatakapomalizika.Türkiye
Siku ya watoto yenye Giza: Mke wa Rais wa Uturuki akumbuka watoto waliouliwa Gaza na Israel
Mama wa Taifa wa Uturuki, Emine Erdogan anasema Novemba 20 mwaka huu ni Siku ya "Giza" ya watoto duniani, wakati watoto wa Kipalestina hawana uhakika kama wataiona kesho kwa kunusurika mashambulizi ya Israeli.
Maarufu
Makala maarufu