Afrika
Rwanda: Maambukizi ya Marbug yapungua kwa asilimia kubwa
Waziri wa Afya Dr Sabin Nsanzimana, asema kupungua kwa maambukizi ya Marburg kwa 92% ni ishara kuwa ugonjwa huo unaenda kwisha. Huku Mkuu wa Shirika la WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus, aipongeza Rwanda kwa juhudi za kukabiliana na maambukizi hayo.
Maarufu
Makala maarufu