Ulimwengu
Gaza: Wizara ya afya yasema Hospitali 3 pekee zinazohudumu, hatarini kuanguka
Mashambulizi makubwa ya kijeshi ya Israel yameingiza mfumo wa afya Huko Gaza katika hali "mbaya sana", kwani Israeli imeruhusu tu msaada mdogo katika eneo lililozingirwa wakati wa usitishwaji wa kibinadamu wa siku nne.
Maarufu
Makala maarufu