Türkiye
Erdogan akutana na viongozi wa mamlaka ya Palestina Abbas na Haniye wa Hamas, mjini Ankara
Rais wa Uturuki Erdogan amewaleta pamoja viongozi wa Palestina Abbas na Haniyeh katika mkutano wa kihistoria wa kushughulikia mgawanyiko wa ndani na mzozo wa Israel, na hapo kuibua matumaini ya suluhu baada ya majaribio yaliyoshindwa hapo awali
Maarufu
Makala maarufu