Afrika
Makala Maalum: Kwa heri 2023, kwa heri Shakahola
Mwaka 2023 utakumbukwa kwa mingi, lakini kubwa ni mauaji ya kutisha yaliyotokea pwani ya Kenya katika msitu wa Shakahola ambapo mamia ya waumini wa dhehebu la Good News International Ministry walipoteza maisha baada ya kukaa muda mrefu bila chakula.
Maarufu
Makala maarufu