Afrika
Mahakama yasitisha tangazo la Serikali kufuta vijiji Ngorongoro
Hivi karibuni, katika tangazo la Serikali, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) wa Tanzania, Mohamed Mchengerwa alitangaza kuvifuta vijiji vyote ndani ya tarafa ya Ngorongoro, iliyoko Arusha, Tanzania.
Maarufu
Makala maarufu