Michezo
Gymnastics Ireland waomba radhi baada ya kumtenga msichana mweusi wakati wa sherehe ya medali
Video iliyosambaa kwa kasi ya msichana mweusi wa mazoezi ya viungo akipuuzwa wakati wa sherehe ya utoaji medali huko Dublin imezua hasira na kusababisha "omba radhi isiyo na masharti" kutoka kwa Gymnastics Ireland kwa familia ya msichana huyo."
Maarufu
Makala maarufu