Afrika
Uganda: Wanafunzi wa vyuo vikuu waandamana hadi bungeni kwa sababu ya mswada wa ushoga
Wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali walianza safari kutoka Chuo Kikuu cha Makerere wakiwa na mabango yenye maneno ya shukrani kwa Rais, Mwasisi wa Muswada huo Asuman Basalirwa, Mbunge wa Manispaa ya Bugiri, Spika wa Bunge na Wabunge
Maarufu
Makala maarufu