Afrika
Uchaguzi DRC 2023: Matumaini ya uchaguzi wa amani huku ikisalia siku moja kabla kupiga kura DRC
Kampeni za lala salama zinaendelea DRC, zaidi wa wapiga kura milioni 40 wanatarajiwa kujitokeza Disemba 20 kuwapigia kura viongozi wao. Rais Felix Tshisekedi agombea muhula wa 2, huku akishindana na wagombea wengine 21, wawili kati yao ni wanawake.
Maarufu
Makala maarufu