Ulimwengu
Uhispania, Norway na Ireland zimelitambua rasmi taifa la Palestina
Israel imewauwa Wapalestina wasiopungua 36,096 - wakiwemo watoto wachanga na wanawake - na kujeruhi 81,136 katika vita vyake vya siku 235 dhidi ya Gaza, huku takriban watu zaidi ya10,000 wakihofiwa kuzikwa chini ya vifusi vya nyumba zilizolipuliwa.Michezo
Gymnastics Ireland waomba radhi baada ya kumtenga msichana mweusi wakati wa sherehe ya medali
Video iliyosambaa kwa kasi ya msichana mweusi wa mazoezi ya viungo akipuuzwa wakati wa sherehe ya utoaji medali huko Dublin imezua hasira na kusababisha "omba radhi isiyo na masharti" kutoka kwa Gymnastics Ireland kwa familia ya msichana huyo."
Maarufu
Makala maarufu