Afrika
Mzozo wa Khartoum ni suala la ndani, majirani wa Sudan wasema.
Mkutano wa siku moja wa nchi Jirani wa Sudan uliowaleta pamoja viongozi wa mataifa jirani wa Sudan mjini Cairo, Misri, umefikia kilele huku viongozi hao wakisema kuwa suluhu la ndani lipewe kipaumbele ili kurejesha utulivu na usalama Sudan.
Maarufu
Makala maarufu