|
Swahili
|
Swahili
MAKALA MAALUM
Je, Afrika itapata viti vya kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa?
Viongozi wa dunia, hasa kutoka Afrika na maeneo mengine ya Kusini mwa Dunia, wamesema kuwa chombo kilichoanzishwa zaidi ya miaka 80 iliyopita hakionyeshi tena uhalisia wa dunia ambacho kinaiwakilisha.
Na
Susan Mwongeli
SIASA
UTURUKI
JARIDA
MAONI
MICHEZO
AFRIKA
Makala kuu wiki hii
Uchaguzi Mkuu kurejesha utulivu Sudan Kusini?
Licha ya kuhairishwa mara kwa mara, Rais Salva Kiir anaamini kuwa, nchi yake ipo tayari kwa mchakato huo kwa mustakabali wa demokrasia ya nchi hiyo.
Na
Brian Okoth
Yomif Kejelcha: Mvunjaji wa marekodi ya dunia ya riadha
Miongoni mwa wanariadha wa Afrika tajika ni Yomif Kejelcha wa Ethiopia aliyevunja rekodi ya nusu marathon ya wanaume mwaka huu
Inyas Sulley: Mtanzania anayechukua riadha hatua kwa hatua
Alijitambulisha vyema katika ulingo wa kimataifa wa mbio za barabarani mwaka 2022, aliposhinda mbio za nusu marathon katika mashindano ya Al Mouj Muscat
Kuanzia watoto watano hadi mapambano ya kuishi: Changamoto ya uzazi wa watoto wengi barani Afrika
Mimba ya watoto wengi inaweza kubadilisha furaha ya ujauzito na kuwa safari ya kimatibabu yenye hatari kubwa, huku hatari hizo zikiongezeka kadiri idadi ya watoto inavyoongezeka.
MATAIFA MATANO AFRIKA YAKABILIANA NA MILIPUKO YA POLIO, LAKINI MAPAMBANO BADO YANAENDELEA
Burundi — pamoja na Ghana, Guinea-Bissau, Jamhuri ya Congo, na Uganda — zimefanikiwa kuzuia maambukizi ya virusi vya polio, kuashiria hatua muhimu kwa safari ya Afrika katika kuangamiza ugonjwa huo.
MAKALA YA SIASA
Uchaguzi wa Nigeria 2027: Tinubu vs Atiku
Kenya yapambana na wimbi la kauli za chuki, mwaka moja kuelekea Uchaguzi Mkuu
Emmanuel Oduor
Kampeni maalumu ya simulizi za Afrika
Charles Mgbolu
Benjamin Ratsim: Kijana wa miaka 19 anayebanana hapo hapo na vigogo wa riadha
Benjamin Ratsim, aliweka rekodi mpya ya taifa la Tanzania katika mbio za kilomita 15.
Magdalena Shauri: Binti aliyejijengea jina miongoni mwa mabingwa wa riadha duniani
Magdalena Shauri, Mtanzania ambaye hawezi kuzuilika, bila shaka ni jina la kufuatilia kwa karibu.
Unyanyasaji kwa wazee janga linaloenea kimya kimya
Kulingana na WHO, takriban mtu mmoja kati ya sita wenye umri wa miaka 60 na zaidi amekumbana na aina fulani ya unyanyasaji katika jamii zao katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
Osman Ali, mpiga mieleka Mturuki mwenye asili ya Tanzania
“Lengo langu ni kuwa mtu mzuri, na bingwa katika mieleka” amesema Osmani Ali.
Juhudi za Sierra Leone katika kulinda haki za wafanyakazi wa nyumbani
Nchini Sierra Leone, vyama vya wafanyakazi na waajiri wanashirikiano na serikali na taasisi za kimataifa kuimarisha mazingira mazuri ya kufanya kwao kazi.
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Tunaendelea na mfululizo wetu wa kuangalia vipaji vya vijana wa Tanzania katika michezo ya riadha.
EMMANUEL NCHIMBI NI NANI?
Makamu wa Rais wa Tanzania, Balozi Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kuanzia Septemba 4, 2026, chini ya mwaka mmoja tangu aingie madarakani pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan.
Waandishi
Je, Umoja wa Afrika unaweza ukapata ufumbuzi kupitia majadiliano Sudan?
3 dk kusoma
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
2 dk kusoma
Edward Josaphat Qorro
Ainua mkono wake juu kwa miaka 53 kuushusha chini
2 dk kusoma
Mke wa Rais wa Tunisia, Ichraf Chebil
2 dk kusoma
SUMU YA SIANIDI KWA WANYAMAPORI: JE, NI WAKATI WA KUPITIA UPYA MFUMO WA UDHIBITI WA VIUATILIFU KENYA
Kenya inachunguza iwapo kemikali hatari za kulinda mazao zimetumiwa, kuhifadhiwa, au kutupwa isivyofaa katika maeneo yanayotumiwa na wanyamapori pamoja na wanyama wa kufugwa.