|
Swahili
|
Swahili
MAONI
UTURUKI NA UMOJA WA MATAIFA: DUNIA NI ZAIDI YA NCHI TANO
Uturuki inatoa wito wa kufanyika mabadiliko haraka katika taasisi hiyo ya dunia ambayo yanaendana na hali na mahitaji ya kuwa dunia imebadilika tangu kuundwa kwa Umoja wa Mataifa.
SIASA
UTURUKI
JARIDA
MICHEZO
AFRIKA
Maoni
Erdogan akiwa UNGA: Akumbushia kuhusu taifa la Palestina na kuhimiza mabadiliko duniani
Huku kukiwa na vita na migogoro, Rais wa Uturuki ametoa wito wa kuwepo kwa hatua madhubuti – kutoka Palestina hadi Bahari Nyeusi na zaidi.
Je, China inaweza kubadilisha uhusiano wao na Iran kuwa wa kidplomasia kabla ya mkutano wa Xi-Trump?
Huku wito ukiendelea kutolewa kwa Iran na Marekani kurudi katika majadiliano, mazungumzo ya Araghchi nchini China baada ya kufahamu Xi Jinping anataka nini wakati atakapokutana na Donald Trump.
Kwa nini Uganda wanatakiwa kutafakari kuhusu mpango wao wa kupeleka vikosi Gaza
Uganda imeahidi kupeleka maafisa wa usalama 1,200 katika mpango uliopendekezwa wa wanajeshi 20,000, kikosi kitakachoongozwa na kamanda wa Marekani Meja Jenerali Jasper Jeffers.
Namna miungano mipya inavyobadilisha mifumo ya usalama Afrika Magharibi
Kujiondoa kwenye Jumuiya ya ECOWAS kumefanya kuwe na mipango tofauti, huku Muungano wa Mataifa ya Sahel ukiimarika kwa ushirikiano wa Algeria na mataifa yasiyo ya Magharibi huku Morocco na washirika wengine katika kanda wakitafuta kuwa na ushawishi.
AUSTRIA NA UTURUKI: HATUA NYINGINE YA USHIRIKIANO
Ziara ya Kansela Christian Stocker jijini Ankara inadhihirisha mwanzo mpya kati ya Austria na Uturuki. Katika kipindi ambacho kuna mizozo ya kisiasa, ushirikiano wa karibu siyo tu suala la msingi bali ni muhimu kimkakati.
SIASA
Akili Mnemba na weledi wa uandishi wa habari
Yusuf Ozkir
Hifadhi ya Jamii Barani Afrika: Nguvu ya Ubuntu
Esther Mpagalile
Tuwalinde watoto wetu dhidi ya ukatili wa kijinsia mitandaoni
Magdalene Wanza
Mgogoro wa Ceuta: Zaidi ya wimbi la kawaida la uhamiaji
Mtazamo mpana zaidi kuhusu tukio hili unaonyesha simulizi tata lenye pande nyingi, ambapo historia, mahusiano ya kimataifa na siasa za kijiografia za dunia zinaingiliana.
Na
Yahya Habil
Makubaliano ya nyuklia ya Marekani na Saudi Arabia yanabadilisha muelekeo Mashariki ya Kati
Makubaliano ya Tehran 2010 yaliyopatanishwa na Uturuki na Brazil bado yana uwezo wa kuiondoa kanda kutoka kwenye hali ya hatari na kuruhusu Iran kuendeleza mpango salama wa nyuklia
Ubuntu: Mfumo ambao uongozi barani Afrika unahitaji
Katika bara la Afrika ambalo mataifa yanashirikiana zaidi, Ubuntu siyo tu suala la kitamaduni. Ni mfumo ambao unaweza kuleta maendeleo.
Kutoka mitandao ya kijamii hadi mitaani: Julai 15 na kumbukumbu ya kidijitali ya kiraia ya Uturuki
Jaribio la mapinduzi lililofeli lilionyesha kwamba mitandao ya kijamii haiwezi, yenyewe pekee, kuunda ujasiri wa kiraia. Hata hivyo, katika nyakati za mizozo, inaweza kusaidia kuhamasisha watu, kukuza ujumbe na kuhifadhi kumbukumbu.
Uhusiano wa Uturuki - Afrika na mapambano dhidi ya FETO baada ya jaribio la mapinduzi lililofeli
Ushirikiano wa kugawana taarifa za kijasusi na usalama ulioanzishwa ili kuvunja mitandao haramu ya FETO kote Afrika ulisababisha pigo kubwa kwa shughuli za muda mrefu za shirika hilo barani.
Ebola, mamlaka na uaminifu: Kile ambacho mzozo wa karantini kati ya Kenya na Marekani unafichua
Changamoto si kuchagua kati ya ushirikiano wa kimataifa na uhuru bali kubuni ushirikiano unaofanikisha yote mawili. Katika ulimwengu wa baada ya USAID, kujenga uaminifu huo kutakuwa muhimu ikiwa ushirikiano wa afya wa siku zijazo utafanyika
RAIA WA AFRIKA KUSINI WAZINDUA KAMPENI YA MSAADA KWA RAIA WA KIGENI HUKU KUKIWA NA GHASIA ZA CHUKI
Kwa uchache zaidi, wafanyakazi wa kujitolea wanataka serikali kutoa makazi na usalama kwa wakimbizi ambao wamepoteza nyumba zao na riziki.
Waandishi
Vijana wa Kenya hawastahili kulazimishwa kubeba mzigo wa madeni ambao hawakutafuta
6 dk kusoma
Kwa nini ushirikiano wa Somalia-Uturuki ni kielelezo cha sera ya kigeni ya karne ya 21
6 dk kusoma
Zaidi ya nyimbo za taifa: Siku ya Uhuru wa Afrika sasa lazima imaanishe ukombozi wa kiuchumi
5 dk kusoma
Kwa nini Kombe la Dunia 2026 litakuwa lenye ushawishi wa kimataifa zaidi katika historia ya FIFA
7 dk kusoma
JUKWAA LA KIDIPLOMASIA LA ANTALYA KWA MTAZAMO WA VIONGOZI WA AFRIKA
Antalya ndiyo sehemu ambayo nchi zinazoendelea zimepata sauti sasa.