|
Swahili
|
Swahili
SIASA
UTURUKI
JARIDA
MAONI
MICHEZO
AFRIKA
Coletta Wanjohi
Journalist
Journalist
Makala za Mwandishi
Mke wa Rais wa Zimbabwe: Auxillia Kutyauripo Mnangagwa
Kutyauripo amekuwa katika nafasi ya Mke wa Rais wa Zimbabwe tangu Novemba 24, 2017, baada ya mume wake Emmerson Mnangagwa kuapishwa rasmi kushika uongozi wa nchi hiyo.
2 dk kusoma
Mjue Lordina Mahama, mke wa Rais wa Ghana
Yeye ndiye mwanzilishi na rais wa Taasisi ya Lordina (Lordina Foundation), shirika la hisani linalotoa ufadhili wa masomo, kusaidia vituo vya watoto yatima na kuwezesha vifaa katika wodi za wazazi na watoto.
2 dk kusoma
Majengo ya jadi ya jamii ya Asante nchini Ghana
Majengo haya ya kitamaduni ni ishara ya mwisho ya zama za ustaarabu wa jamii ya Asante, ambao ulifikia kilele chake katika karne ya 18.
2 dk kusoma
Wake wa Marais wa Afrika: Mariam Mwinyi wa Zanzibar
Mariam Mwinyi ni mke wa Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi
2 dk kusoma
Wake wa Marais : Tshepo Motsepe wa Afrika Kusini
Dkt, Motsepe ni daktari wa binadamu akiwa na Shahada za Tiba, ya Upasuaji na Uzamili ya Afya
2 dk kusoma
Hifadhi ya Taifa ya Kruger yaadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa
Hifadhi hii huvutia idadi kubwa ya watalii wa ndani na nje, hivyo kukuza sekta ya utalii ya Afrika Kusini na uchumi mpana kupitia mtandao wake mpana wa kutoa huduma ikiwemo nyumba za kulala wageni, kambi na njia za safari.
2 dk kusoma
Wake wa Marais wa Afrika: Zita Oligui Nguema wa Gabon
Kama Mama wa Taifa, Zita Oligui Nguema anaangazia zaidi katika huduma ya afya, elimu, na kusaidia idadi ya watu walio katika mazingira hatarishi.
2 dk kusoma
Wake wa Marais wa Afrika: Entissar Amer wa Misri
Entissar alifunga ndoa na Abdel Fattah el-Sisi mwaka 1977, baada ya el Sisi kuhitimu kutoka Chuo cha Kijeshi.
2 dk kusoma
Utajiri wa Afrika: Kaftan ya Morocco
Kaftan huvaliwa wakati wa sherehe muhimu za kijamii na kidini kama vile harusi, ubatizo, matambiko ya wazee na sherehe nyengine.
2 dk kusoma
Wake wa Marais wa Afrika: Mary Ayen Mayardit wa Sudan Kusini
Kabla ya uhuru wa Sudan Kusini, Mary Ayen Mayardit alikuwa mpigania ukombozi aliyejitolea wakati wa mapambano ya miaka 21 dhidi ya Sudan.
2 dk kusoma