Afrika
Umoja wa Afrika walaani vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji
Tume ya AU imesema Mwenyekiti anaendelea kufuatilia kwa karibu matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji uliofanyika Oktoba 9, 2024 na anaeleza wasiwasi wake kuhusu matukio ya ghasia za baada ya uchaguzi na hasa mauaji ya hivi karibuni.
Maarufu
Makala maarufu