Afrika
Tanzania kushuhudia katizo la umeme kutoka Jumamosi hadi Jumatatu: Shirika la TANESCO
Mikoa ya Iringa Njombe, Ruvuma,Mbeya, Songwe, Dodoma, Singida Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Mwanza, Geita na Mara ni kati ya baadhi ya mikoa iliyotajwa kuwa itaathiriwa na katizo la umeme
Maarufu
Makala maarufu