Afrika
Raia wa Afrika Kusini wataka Uingereza kurejesha almasi yao kubwa zaidi duniani.
Almasi inayojulikana kama Nyota ya Afrika ilichukuliwa kutoka Afrika Kusini wakati wa ukoloni na imewekwa katika fimbo ya kifalme ambayo Mfalme Charles III anatarajiwa kushikilia wakati wa kutawazwa kwake Jumamosi.
Maarufu
Makala maarufu