Afrika
Ibada ya njaa Kenya: Familia zapoteza matumaini huku chumba cha kuhifadhi maiti cha muda kikianzishwa
Idadi ya waathiriwa wa kisa cha kujiua kwa njaa kwa waumini wa kanisa moja nchini Kenya imeongezeka kufikia 98, huku jamaa wakiomboleza na kusubiri matokeo ya uchunguzi dhidi ya makaburi ya pamoja yaliyo gunduliwa
Maarufu
Makala maarufu