Afrika
Rais Museveni atoa maneno makali dhidi ya Marekani na Uingereza
Rais Museveni wa Uganda ameishutumu Marekani na Uingereza kwa kutoa tahadhari ya kiusalama huku akivisifu vikosi vya usalama vya Uganda kwa kudumisha usalama licha ya vitisho vya ugaidi wakati wa tamasha la hivi karibuni huko Jinja.
Maarufu
Makala maarufu