Maisha
Dar es Salaam: utulivu baada ya Polisi kuzuia maandamano yaliyopangwa leo
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, UVCCM, Mohamed Ali Kawaida (MCC), aliitisha maandamano kufanyika katika mji wa Dar es salaam na wilaya zote na ili kuitetea serikali dhidi ya hatua yake ya uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam
Maarufu
Makala maarufu