Michezo
Puerto Rico yavunja nyoyo za Sudan Kusini mechi ya kusisimua kombe la dunia la mpira wa kikapu FIBA
Sudan Kusini maarufu 'Bright Stars' inashiriki kombe la dunia kwa mara yake ya kwanza baada ya kuweka historia kwa kufuzu huku ikiorodheshwa nambari 62 duniani. Sudan Kusini, iko kundi B pamoja na Serbia, Uchina, na Puerto Rico
Maarufu
Makala maarufu