Afrika
Sultan Mehmed II alivyoikomboa Istanbul miaka 571 iliyopita
Mei 29, 1453, jiji la Istanbul lilianguka kutoka dola ya Byzantine na kutwaliwa na dola ya Ottoman iliyokuwa ikiongozwa na Sultan Mehmed au Fatih Mehmet yaani ‘mfunguzi’ kwa kiarabu, na kuifanya dola hiyo kuwa yenye nguvu zaidi duniani.Türkiye
Ufafanuzi: Miaka 100 ya historia ya uchaguzi wa Uturuki
Tangu kuundwa kwake mnamo 1923 kama jamhuri chini ya uongozi wa Mustafa Kemal Ataturk, Uturuki imebadilika polepole lakini kwa hakika hadi kuwa serikali yenye nguvu ya demokrasia ya vyama vingi. Hapa kuna ufafanuzi juu ya uchaguzi wake.
Maarufu
Makala maarufu