Türkiye
Meli ya utafiti ya Oruc Reis ya Uturuki imewasili Somalia kwa ajili ya utafutaji wa mafuta, gesi
Meli hiyo ilianza safari kuelekea Somalia mapema mwezi huu kwa ajili ya shughuli za uchunguzi wa mafuta, gesi asilia na mitetemo katika maeneo matatu matatu ambayo Uturuki imepata leseni za utafutaji.Türkiye
Meli ya Kituruki ya Oruç Reis yaelekea Somalia kwa shughuli za kitafiti
Meli ya utafiti ya Oruç Reis ambayo pia ni fahari ya Uturuki katika uchunguzi wa baharini, ikipita katika mlango wa bahari wa Istanbul kuelekea nchini Somalia kwa ajili ya shughuli za uchunguzi wa gesi asilia, mafuta na mitetemo katika ukanda huo.
Maarufu
Makala maarufu