Ulimwengu
Wapalestina waadhimisha miaka 76 ya Nakba huku kukiwa na janga jipya Gaza
"Nakba," ni neno la kiarabu linalomaanisha "janga." Takriban Wapalestina 700,000 walifukuzwa kwa nguvu kutoka makwao kabla na wakati wa vita vya Waarabu na Israeli vya mwaka wa 1948 na kusababisha kuanzishwa kwa nchi ya Israeli.
Maarufu
Makala maarufu