- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Mkurugenzi Wa Mawasiliano Wa Uturuki
Matokeo ya 4 yanayohusiana na Mkurugenzi Wa Mawasiliano Wa Uturuki yanaonyeshwa
Türkiye
Altun ahimiza mwitikio mkubwa wa kimataifa kukomesha mashambulio ya Israel huko Gaza
Altun anakosoa mfumo wa kimataifa wa baada ya Vita vya Kidunia vya pili kwa kutanguliza masilahi ya nchi fulani, ambao umechochea migogoro na vita huku ukiweka kando vipengele vya kujenga kama vile ustawi, amani na utulivu.Türkiye
Uturuki yailaani Israel kwa shambulio lenye kulenga wanahabari
Israel inapigana vita dhidi ya ukweli kwa "kukusudia, kulenga" waandishi wa habari, anasema Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Uturuki Altun kufuatia shambulizi la kifaru lililojeruhi wanahabari kadhaa wakiwemo wale wa kituo cha TRT Arabi.
Maarufu
Makala maarufu