- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Mauaji Ya Israel Gaza
Matokeo ya 11 yanayohusiana na Mauaji Ya Israel Gaza yanaonyeshwa
Türkiye
Rais wa Uturuki Erdogan azungumzia Gaza na Al Burhan wa Sudan
Rais Erdogan anasema kunapaswa kuwepo umoja katika masuala yote yanayouhusu ulimwengu wa Kiislamu, akiangazia umuhimu wa kutekelezwa maamuzi yaliyofikiwa katika kikao cha hivi karibuni cha Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu mjini Riyadh.Afrika
A. Kusini yamuita balozi wake kutoka Israel, yaishutumu kwa 'mauaji ya halaiki'
Serikali ya Afrika Kusini inatishia kuchukua hatua dhidi ya balozi wa Israel nchini Afrika Kusini kutokana na matamshi yake ya hivi karibuni kuhusu msimamo wa nchi hiyo ya Kiafrika kuhusu vita vya Israel na Palestina.
Maarufu
Makala maarufu