Afrika
Afrika na vita dhidi ya unene uliopita kiasi
Unene uliokithiri miongoni mwa watu wazima umeongezeka zaidi ya mara mbili tangu 1990 na kuongezeka mara nne miongoni mwa watoto na vijana, na kusababisha hali ya kutisha ambapo zaidi ya watu bilioni moja duniani kote sasa wameainishwa kuwa wanene.
Maarufu
Makala maarufu